Klabu mbili kongwe za soka Simba na Yanga kutoka Afrika Mashariki nchini Tanzania, Ijumaa hii April 5 zinakabiliwa na kibarua kizito cha kuwania kutinga hatua ya nusu fainali ya Ligi ya mabingwa ...
Bodi ya Ligi kuu ya soka Tanzania bara TPLB imetangaza maofisa wa mchezo wa watani wa jadi kutokea Kariakoo kati ya Young Africans Sc na Simba Sc, utachezeshwa na waamuzi wa kigeni kutoka nchini Misri ...
Mtifuano wa Ligi kuu Soka Tanzania Bara unaendelea leo Mei 5 kwa Mchezo mmoja katika hatua ya lala Salama Wekundu wa Msimbazi Simba wanakibarua kigumu ugenini dhidi ya Maafande JKT Tanzania. Simba ...